Amka, amka, Debora;Amka, amka, imba wimbo.Inuka, Baraka, wachukue mateka waoWaliokuchukua mateka, Ee mwana wa Abinoamu.