Itangazeni habari, ninyi mpandao punda weupe,Ninyi mketio juu ya mazulia ya thamani,Na ninyi mnaopita njiani kwa miguu.