Amu. 20:34 Swahili Union Version (SUV)

Kisha watu elfu kumi waliochaguliwa katika Israeli wote wakaja juu ya Gibea, na vile vita vilikuwa vikali sana; lakini hawakujua ya kuwa uovu ulikuwa karibu nao.

Amu. 20

Amu. 20:32-38