Amu. 20:33 Swahili Union Version (SUV)

Basi hao watu wote wa Israeli wakaondoka mahali pao wakajipanga huko Baal-tamari; na hao wenye kuvizia wa Israeli wakatoka mahali hapo walipokuwa, hata Maare-geba.

Amu. 20

Amu. 20:26-42