Amu. 20:35 Swahili Union Version (SUV)

BWANA akampiga Benyamini mbele ya Israeli; na wana wa Israeli waliangamiza watu waume ishirini na tano elfu na mia moja, wa Benyamini siku hiyo; wote hao waliokuwa wenye kutumia upanga.

Amu. 20

Amu. 20:28-37