Sauli na Yonathani walipendwa na kupendezaMaishani wala mautini hawakutengwa;Walikuwa wepesi kuliko tai,Walikuwa hodari kuliko simba.