Kutoka kwa damu yao waliouawa,Kutoka kwa shahamu yao mashujaa,Upinde wa Yonathani haukurudi nyuma,Wala upanga wa Sauli haukurudi bure.