2 Nya. 6:27 Swahili Union Version (SUV)

basi usikie huko mbinguni, ukaisamehe dhambi ya watumwa wako, na ya watu wako Israeli; uwafundishapo njia njema iwapasayo waiendee; ukainyeshee mvua nchi yako, uliyowapa watu wako iwe urithi.

2 Nya. 6

2 Nya. 6:21-33