2 Nya. 6:26 Swahili Union Version (SUV)

Ikiwa mbingu zimefungwa, hata hakuna mvua, kwa sababu wamekukosa wewe; kama wakiomba wakikabili mahali hapa, na kulikiri jina lako, na kuiacha dhambi yao, uwatesapo;

2 Nya. 6

2 Nya. 6:22-32