2 Fal. 18:11 Swahili Union Version (SUV)

Mfalme wa Ashuru akawahamisha Israeli mpaka Ashuru, akawaweka katika Hala, na katika Habori, karibu na mto wa Gozani, na katika miji ya Wamedi;

2 Fal. 18

2 Fal. 18:1-14