2 Fal. 18:12 Swahili Union Version (SUV)

kwa sababu hawakuitii sauti ya BWANA, Mungu wao, bali waliyahalifu maagano yake, mambo yote ambayo Musa mtumishi wa BWANA aliwaamuru, wasikubali kuyasikiliza, wala kuyatenda.

2 Fal. 18

2 Fal. 18:10-15