Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi,Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago;Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA,Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme.