1 Nya. 23:32 Swahili Union Version (SUV)

tena walinde ulinzi wa hema ya kukutania, na ulinzi wa patakatifu, na ulinzi wa wana wa Haruni, ndugu zao, katika utumishi wa nyumba ya BWANA.

1 Nya. 23

1 Nya. 23:25-32