1 Nya. 23:31 Swahili Union Version (SUV)

na kumtolea BWANA sadaka zote za kuteketezwa, katika siku za sabato, za mwezi mpya, na za sikukuu zilizoagizwa, kwa hesabu kadiri ya agizo lake, daima mbele za BWANA;

1 Nya. 23

1 Nya. 23:23-32