Isaya 43:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Hamjaniletea kondoo wenu wa sadaka za kuteketezwa,wala kuniheshimu kwa tambiko zenu.Nami sikuwalemeza kwa kutaka sadaka,wala sikuwachosha kwa kuwadai ubani.

Isaya 43

Isaya 43:21-25