Isaya 43:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Hamkuninunulia manukato kwa faida yenu,wala kuniridhisha kwa nyama nono za tambiko.Badala yake dhambi zenu zimekuwa mzigo kwangu,mmenichosha kabisa kwa makosa yenu.

Isaya 43

Isaya 43:19-28