Enyi mmpendao BWANA, uchukieni uovu;Huwalinda nafsi zao watauwa wake,Na kuwaokoa na mkono wa wasio haki.