Nitataja Rahabu na BabeliMiongoni mwao wanaonijua.Tazama Filisti, na Tiro, na Kushi;Huyu alizaliwa humo.