Shomoro naye ameona nyumba,Na mbayuwayu amejipatia kioto,Alipoweka makinda yake,Kwenye madhabahu zako, Ee BWANA wa majeshi,Mfalme wangu na Mungu wangu.