Zab. 84:2 Swahili Union Version (SUV)

Nafsi yangu imezionea shauku nyua za BWANA,Naam, na kuzikondea.Moyo wangu na mwili wanguVinamlilia Mungu aliye hai.

Zab. 84

Zab. 84:1-8