Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyaoUmeiweka misingi ya nguvu;Kwa sababu yao wanaoshindana nawe;Uwakomeshe adui na mijilipiza kisasi.