Ee Mungu, mataifa wameingia katika urithi wako,Wamelinajisi hekalu lako takatifu.Wamefanya Yerusalemu chungu chungu.