Zab. 76:9-11 Swahili Union Version (SUV)

9. Mungu aliposimama ili kuhukumuNa kuwaokoa wapole wa dunia wote pia.

10. Maana hasira ya binadamu itakusifu,Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi.

11. Wekeni nadhiri, mkaziondoeKwa BWANA, Mungu wenu.Wote wanaomzunguka wamletee hedaya,Yeye astahiliye kuogopwa.

Zab. 76