Wekeni nadhiri, mkaziondoeKwa BWANA, Mungu wenu.Wote wanaomzunguka wamletee hedaya,Yeye astahiliye kuogopwa.