Ubaya wao wasio haki na ukome,Lakini umthibitishe mwenye haki.Kwa maana mjaribu mioyo na viunoNdiye Mungu aliye mwenye haki.