BWANA atawaamua mataifa,BWANA, unihukumu mimi,Kwa kadiri ya haki yangu,Sawasawa na unyofu nilio nao.