Laumu imenivunja moyo,Nami ninaugua sana.Nikangoja aje wa kunihurumia, wala hakuna;Na wa kunifariji, wala sikumwona mtu.