Wewe umejua kulaumiwa kwangu,Na kuaibika na kufedheheka kwangu,Mbele zako Wewe wako watesi wangu wote.