Mataifa na washangilie,Naam, waimbe kwa furaha,Maana kwa haki utawahukumu watu,Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.