Umeijilia nchi na kuisitawisha,Umeitajirisha sana;Mto wa Mungu umejaa maji;Wawaruzuku watu nafakaMaana ndiwe uitengenezaye ardhi.