Matuta yake wayajaza maji;Wapasawazisha palipoinuka,Wailainisha nchi kwa manyunyu;Waibariki mimea yake.