Kwa mambo ya kutisha utatujibu,Katika haki, Ee Mungu wa wokovu wetu.Wewe uliye tumaini la miisho yote ya dunia,Na la bahari iliyo mbali sana,