Heri mtu yule umchaguaye,Na kumkaribisha akae nyuani mwako.Na tushibe wema wa nyumba yako,Patakatifu pa hekalu lako.