Uwakomeshe kwa hasira,Uwakomeshe watoweke,Wajue ya kuwa Mungu atawala katika Yakobo,Na hata miisho ya dunia.