Kwa dhambi ya kinywa chao,Na kwa neno la midomo yao,Wanaswe kwa kiburi chao,Kwa ajili ya kulaani na uongo wasemao.