Hapo waliingiwa na hofu pasipokuwapo hofu,Maana Mungu ameitawanya mifupa yake aliyekuhusuru.Umewatia aibu,Kwa sababu MUNGU amewadharau.