Zab. 53:4-5 Swahili Union Version (SUV)

4. Je! Wafanyao maovu hawajui?Walao watu wangu kama walavyo mkate,Hawakumwita MUNGU.

5. Hapo waliingiwa na hofu pasipokuwapo hofu,Maana Mungu ameitawanya mifupa yake aliyekuhusuru.Umewatia aibu,Kwa sababu MUNGU amewadharau.

Zab. 53