Nao wote wanaokukimbilia watafurahi;Watapiga daima kelele za furaha.Kwa kuwa Wewe unawahifadhi,Walipendao jina lako watakufurahia.