Zab. 5:10 Swahili Union Version (SUV)

Wewe, Mungu, uwapatilize,Na waanguke kwa mashauri yao.Uwatoe nje kwa ajili ya wingi wa makosa yao,Kwa maana wamekuasi Wewe.

Zab. 5

Zab. 5:4-11