Kuinuka kwake ni mzuri sana,Ni furaha ya dunia yote.Mlima Sayuni pande za kaskazini,Mji wa Mfalme mkuu.