10. Kama lilivyo jina lako, Ee Mungu,Ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia.Mkono wako wa kuume umejaa haki;
11. Na ufurahi mlima Sayuni.Binti za Yuda na washangilieKwa sababu ya hukumu zako.
12. Tembeeni katika Sayuni,Uzungukeni mji,Ihesabuni minara yake,
13. Tieni moyoni boma zake,Yafikirini majumba yake,Mpate kuwaambia kizazi kitakachokuja.