Kama lilivyo jina lako, Ee Mungu,Ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia.Mkono wako wa kuume umejaa haki;