Zab. 45:2 Swahili Union Version (SUV)

Wewe u mzuri sana kuliko wanadamu;Neema imemiminiwa midomoni mwako,Kwa hiyo Mungu amekubariki hata milele.

Zab. 45

Zab. 45:1-9