Moyo wangu umefurika kwa neno jema,Mimi nasema niliyomfanyizia mfalme;Ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi mstadi.