4. Mwe na hofu wala msitende dhambi,Tafakarini vitandani mwenu na kutulia.
5. Toeni dhabihu za haki,Na kumtumaini BWANA.
6. Wengi husema, Nani atakayetuonyesha mema?BWANA, utuinulie nuru ya uso wako.
7. Umenitia furaha moyoni mwangu,Kupita yao wanapozidishiwa nafaka na divai.