BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe,Maana umewapiga taya adui zangu wote;Umewavunja meno wasio haki.