Washangilie na kufurahi,Wapendezwao na haki yangu.Naam, waseme daima, Atukuzwe BWANA,Apendezwaye na amani ya mtumishi wake.