Waaibishwe, wafedheheshwe pamoja,Wanaoifurahia hali yangu mbaya.Wavikwe aibu na fedheha,Wanaojikuza juu yangu.