Sauti ya BWANA yawazalisha ayala,Na kuifichua misitu;Na ndani ya hekalu lakeWanasema wote, Utukufu.