Zab. 24:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA,Dunia na wote wakaao ndani yake.

2. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari,Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.

Zab. 24